IQNA

Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu kwa Mahujaji wa Nyumba ya Mwenyezi Mungu 1439 Hijria

Sera za Marekani ni kuchochea vita na mauaji ya Waislamu wenyewe kwa wenyewe

TEHRAN (IQNA)-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema katika ujumbe wake kwa Mahujaji kwamba sera za Marekani ni kuchochea vita baina ya Waislamu...

Pazia la al-Kaaba (kiswa) labadilishwa kabla ya Idul Adha

TEHRAN (IQNA)- Sherehe imefanyika mjini Makka Jumapili kubadilisha pazia la al-Kaaba Tukufu linalojulikana kama Kiswa.

Rais wa Afghanistan atangaza usitishwaji mapigano na Taliban wakati wa Idul Adha

TEHRAN (IQNA)- Rais Mohammad Ashraf Ghani wa Afghanistan ametangaza usitishwaji vita wenye masharti na kundi la wanamgambo wa Taliban kabla ya SIku Kuu...

Zaidi ya Waislamu Milioni Mbili waanza Ibada ya Hija

TEHRAN (IQNA)- Zaidi ya Waisalmu milioni mbili kutoka maeneo yote ya dunia wamejumuika katika mji mtakatifu wa Makka kuanza Ibada ya Hija mwaka huu.
Habari Maalumu
Vizingiti vya Saudia vyawazuia Waqatar kutekeleza Ibada ya Hija

Vizingiti vya Saudia vyawazuia Waqatar kutekeleza Ibada ya Hija

TEHRAN (IQNA)- Wananchi wa Qatar hawataweza kutekeleza Ibada ya Hija kwa mwaka wa pili mfululizo kutokana na idadi kubwa ya vizingiti ambavyo vimewekwa...
12 Aug 2018, 14:53
Waislamu China waandamana kupinga mpango wa kubomoa msikiti

Waislamu China waandamana kupinga mpango wa kubomoa msikiti

TEHRAN (IQNA)- Maelfu ya Waislamu nchini China wamekusanyika katika msikiti mmoja kaskazini magharibi mwa nchi hiyo katika maandamano nadra ya kupinga...
11 Aug 2018, 06:07
Watu 50 wauawa Yemen baada ya Saudia kudondoshea mabomu basi la watoto wa shule ya Qurani

Watu 50 wauawa Yemen baada ya Saudia kudondoshea mabomu basi la watoto wa shule ya Qurani

TEHRAN (IQNA)-Ndege za muungano vamizi wa Saudia zimeshambulia basi lililokuwa limebeba watoto ambao ni wanafunzi wa Qur’ani kati mji wa Dhahiyan wa jimbo...
10 Aug 2018, 01:29
Chuki dhidi ya Uislamu katika chama tawala nchini Uingereza

Chuki dhidi ya Uislamu katika chama tawala nchini Uingereza

TEHRAN (IQNA)- Waziri Mkuu wa Uingereza Theresa May amekosolewa upya kwa kutochukua hatua za kutosha za kukabiliana na vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu...
10 Aug 2018, 01:12
Waislamu 90 Marekani wanawania viti vya uongozi

Waislamu 90 Marekani wanawania viti vya uongozi

TEHRAN (IQNA)- Waislamu zaidiya 90 nchini Marekani wanawania nafasi mbali mbali za uongozi katika ngazi za mitaa, jimbo na kitaifa mwaka huu.
07 Aug 2018, 15:02
Waislamu Kenya wapinga kuteuliwa balozi asiyekuwa Mwislamu kuwakilisha nchi hiyo Saudia

Waislamu Kenya wapinga kuteuliwa balozi asiyekuwa Mwislamu kuwakilisha nchi hiyo Saudia

TEHRAN (IQNA)- Waislamu nchini Kenya wamepinga hatua ya Rais Uhuru Kenyatta wa nchi hiyo kumteua mwanadiplomasia asiyekuwa Mwislamu kuwa balozi wa nchi...
05 Aug 2018, 14:35
Magaidi watekeleza mauaji wakati wa Sala ya Ijumaa msikitini Afghanistan,Marekani yalaumiwa

Magaidi watekeleza mauaji wakati wa Sala ya Ijumaa msikitini Afghanistan,Marekani yalaumiwa

TEHRAN (IQNA)- Magaidi wakufurishaji wameushambulia msikiti wakati wa Swala ya Ijumaa katika mkoa wa Paktia mashariki mwa Afghanistan na kuua waumini wasiopungua...
04 Aug 2018, 17:03
Mahakama ya Uingereza yatambua sheria za Kiislamu kwa mara ya kwanza

Mahakama ya Uingereza yatambua sheria za Kiislamu kwa mara ya kwanza

TEHRAN (IQNA)- Mahakama ya Uingereza kwa mara ya kwanza imetambua sheria za Kiislamu baada ya kutoa hukumu ambayo imeafiki ndoa iliyofanyika kwa mujibu...
03 Aug 2018, 16:34
Picha