iqna

IQNA

norway
Muiraqi
IQNA - Norway imekataa ombi la hifadhi la Salwan Momika, mkimbizi kutoka Iraq ambaye aliivunjia heshima Qur'ani Tukufu mara kadhaa nchini Uswidi katika miezi iliyopita. Ripoti za awali zilieleza kuwa Momika alifariki akiwa Norway lakini imebainika kuwa ripoti hizo hazikuwa sahihi.
Habari ID: 3478679    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/13

Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA)-Filamu ya video iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii imemuonyesha mtoto mdogo wa Kiislamu akiondolewa kwa nguvu katika familia yake ya Kiislamu na maafisa wa "huduma za ulinzi wa watoto" na askari polisi wa Ujerumani kwa sababu wazazi wake wanadaiwa kumfundisha kwamba mahusiano ya kingono ya watu wa jinsia moja hayakubaliki katika Uislamu.
Habari ID: 3476935    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/30

TEHRAN (IQNA) - Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Pamoja Madhehebu za Kiislamu limelaani kitendo cha jarida la Ufaransa la Charlie Hebdo cha kumvunjia heshima tena Bwana Mtume Muhammad SAW na vile vile kitendo kichafu kilichofanywa nchini Sweden cha kuuchoma moto nakala ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3473145    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/07

Sheikh Mkuu wa Al Azhar
TEHRAN (IQNA) – Sheikh Mkuu wa Al Qur’ani amelaani vikali vitendo vya kuvunjiwa heshima Qur’ani Tukufu na kutaja vitendo hivyo vilivyo dhidi ya dini kuwa ni jinai ya kigaidi.
Habari ID: 3473143    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/06

Ayatullah Nouri Hamedani
TEHRAN (IQNA)- Mwanazuoni wa ngazi za juu katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kuivunjia heshima Qur'ani Tukufu ni njama za vituo vya kifikra vya Utawala wa Kizayuni wa Israel na Marekani katika fremu ya kueneza chuki na hofu dhidi ya Uislamu.
Habari ID: 3473142    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/06

TEHRAN (IQNA) – Chuo Kikuu cha Al Azhar nchini Misri kimeanzisha kampeni maalumu ya kukabiliana na chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia).
Habari ID: 3473126    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/01

THERAN (IQNA) msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Pakistan ameashiria kuhusu vitendo hivyo vya kuchomwa moto nakala za Qurani Tukufu katika nchi za Sweden na Norway, huku akitoa indhari kuhusu wimbi jipya la chuki dhidi ya Uislamu barani Ulaya.
Habari ID: 3473124    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/31

TEHRAN (IQNA) – Gaidi aliyeuhujumu msikiti nchini Norway amehukumiwa kifungo cha miaka 21 jela baada ya kupatikana na hatia ya kumuua dada yake wa kambo na kufyatua risasi ndani ya msikiti mjini Oslo, mwezi Agosti mwaka jana.
Habari ID: 3472856    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/11

TEHRAN (IQNA) - Kitendo cha kuichoma moto Qur'an Tukufu kilichojiri katika mkusanyiko mmoja wa maandamano hivi karibuni nchini Norway kimeendelea kulaaniwa.
Habari ID: 3472223    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/11/20

TEHRAN (IQNA) – Polisi ya Norway imewashukuru wazee wawili Waislamu ambao walimshinda nguvu gaidi ambaye alikuwa analenga kuwaua Waislamu katika msikiti mmoja mjini Baerum.
Habari ID: 3472090    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/08/18

TEHRAN (IQNA)- Idadi ya watu wanaokumbatia dini tukufu ya Kiislamu nchini Norway inazidi kuongezeka ambapo katika miaka ya hivi karibuni Wa norway wasiopungua 3000 wamesilimu.
Habari ID: 3471693    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/09/27

TEHRAN (IQNA)- Jumuiya kubwa zaidi ya wafanyakazi Norway imetangaza kususia bidhaa za utawala wa Kizayuni wa Israel kulalamikia ukandamizaji unaofanya na utawala huo dhidi ya Wapalestina.
Habari ID: 3470978    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/13

Takwimu mpya katika mji mkuu wa Norway, Oslo zinaoneysha kuwa, Mohammad, jina la Mtume Mtukufu wa Uislamu (SAW) ndio jina mashuhuri zaidi mjini humo.
Habari ID: 1444599    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/08/30