IQNA-Taasisi ya Dar-ol-Quran ya Idara ya Mfawidhi wa Haram tukufu ya Imam Hussein (AS) imetangaza kuanza kwa raundi ya pili katika hatua ya awali ya Tuzo ya Nne ya Kimataifa ya Qur'ani ya Karbala.
IQNA – Takribani vijana 5,000 wanaojifunza Qur’ani walikusanyika katika haram ya Imam Ridha (AS) huko Mashhad mnamo Mei 3, 2025, kusoma Qur’ani Tukufu wakati wa sherehe za kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Imam huyo wa nane wa Waislamu wa madhehebu ya Shia.
IQNA – Mamlaka za Saudi Arabia zimewakamata raia watano wa kigeni huko Khamis Mushayt, katika mkoa wa Asir kusini mwa nchi, kwa kuhusika na mpango wa kuwatapeli Mahujaji.
IQNA – Operesheni maalumu ya usafi imefanyika katika haram takatifu ya Imam Ridha (AS) huko Mashhad, kaskazini mashariki mwa Iran, siku ya Jumamosi, kabla ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Imam huyo wa nane wa Waislamu wa madhehebu ya Shia.
IQNA – Mwakilishi wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika Masuala ya Hija aameitaja safari ya Hija kama fursa ya dhahabu ya kujitambua na kupata uelewa wa kina zaidi wa Uislamu.
IQNA – Taasisi za elimu za kitamaduni nchini Morocco zimekumbana na changamoto baada ya kuwasilishwa kwa kanuni mpya za kusaidia vituo binafsi vya Qur'ani.