Habari Maalumu
IQNA – Msikiti wa Fakhrul-Muslimin, maarufu kama “Fakhari ya Waislamu”, ulioko nchini Urusi, unavutia idadi kubwa ya wageni kutokana na usanifu wake wa...
23 Dec 2025, 16:05
IQNA – Mkuu wa Baraza la Maendeleo ya Utamaduni wa Qur’ani Tukufu nchini Iran, Hujjatul Islam Mohammad Qomi, amepongeza mwitikio wa nguvu wa wananchi wa...
22 Dec 2025, 16:57
IQNA- Mufti Mkuu wa Uganda, Sheikh Shaban Ramadhan Mubajje, amepongeza juhudi za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kuimarisha mshikamano wa Waislamu.
22 Dec 2025, 15:02
IQNA – Tukio la hivi karibuni la kuvunjiwa heshima Qur’ani Tukufu katika Msikiti Mkuu wa Stockholm nchini Uswidi si jambo la pekee, bali ni sehemu ya mfululizo...
22 Dec 2025, 16:46
IQNA – Athari ya Qur’an Tukufu haijabakia kwa washairi Waarabu na Waislamu pekee, bali imevuka mipaka na kuwagusa pia washairi na waandishi mashuhuri wa...
22 Dec 2025, 16:36
IQNA- Wakazi wa kijiji cha Tabloha, jimbo la Menoufia, wamemzawadia gari kijana mwenye ulemavu wa machi Misri, Abdul Rahman Mahdi, baada ya kushinda nafasi...
22 Dec 2025, 16:22
IQNA- Utawala haramu wa Israel unaendelea kulaaniwa vikali baada ya kushambulia kikatili sherehe ya harusi Gaza huku shirika mashuhuri la haki za kiraia...
21 Dec 2025, 21:07
IQNA-Mashindano ya 27 ya kitaifa ya kuhifadhi Qur’ani Tukufu yameanza nchini Saudi Arabia.
21 Dec 2025, 21:03
IQNA-Wakipita njia zilizozungukwa na majengo yaliyoharibiwa na vifusi, wanafunzi Wapalestina wa Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Gaza wiki hii wamerudi darasani...
21 Dec 2025, 21:00
IQNA--Katika kipindi cha wiki hii cha televisheni ya Qur’an nchini Misri, Dawlat al-Tilawa, sehemu maalum ilitengwa kumuenzi marehemu Qari mashuhuri Sheikh...
21 Dec 2025, 20:56
IQNA-Wawakilishi wa Iran walikuwa miongoni mwa washindi wakuu katika mashindano ya nne ya kimataifa ya Qur’ani Tukufu yaliyofanyika Bangladesh.
21 Dec 2025, 20:53
Istighfar Katika Qur’an Tukufu / 5
IQNA – Kuamini athari ya kiroho katika maisha hakumaanishi kupuuza nafasi ya sababu za kimaada, bali kunamaanisha kuwa sambamba na mambo ya kimaada, yapo...
20 Dec 2025, 15:04
IQNA – Mkusanyiko wa vitu binafsi vya qari maarufu Sheikh Abdul Basit Abdul Samad ni miongoni mwa maonyesho katika Jumba la Makumbusho ya Maqari wa Qur’an...
20 Dec 2025, 13:55
IQNA – Malaysia imeanza kuchapisha nakala 20,000 za Qur’an Tukufu zikiwa na tarjuma ya Kitamil.
20 Dec 2025, 14:55
IQNA – Baraza Kuu la Masuala ya Kiislamu nchini Misri limezindua filamu fupi inayoelezea maisha ya marehemu qari Abdul Basit Abdulsamad, kwa kutumia teknolojia...
20 Dec 2025, 14:48
Mashindano haya yatafanyika katika kipengele cha kuhifadhi Qur’an kwa wanafunzi wa kiume na wa kike kutoka vituo vya mafunzo ya kuhifadhi Qur’an kote Misri.
20 Dec 2025, 14:07