IQNA

Harakati za Qur'ani

Karbala Kujiandaa kwa Matukio ya ‘Siku ya Dunia ya Qur'ani’

IQNA – Mkutano ulifanyika katika mji mtakatifu wa Karbala, Iraq, wikendi hii iliyopita kujadili maandalizi ya mwisho kwa ajili ya “Siku ya Dunia ya Qur'ani”.
Mashindano ya Qur'ani ya Mauritania yamalizika  
IQNA – Toleo la 22 la mashindano ya kitaifa ya Qur'ani nchini Mauritania lilihitimishwa kwa hafla wikendi hii.
2025 Jan 07 , 22:37
Wanafunzi wa Algeria watatumia likizo za majira ya baridi kuhifadhi Qur'ani
IQNA - Idara kadhaa za wakfu na masuala ya dini nchini Algeria zinafanya kazi ya kufungua tena shule za Qur'ani na Maktab (vituo vya jadi vya kusoma Qur’ani) wakati wa likizo za majira ya baridi ili kuruhusu wanafunzi kutumia muda huu kuhifadhi Qur'ani.
2025 Jan 06 , 20:39
Marufuku ya matangazo ya kibiashara kwenye Idhaa ya Qur'ani Misri yaungwa mkono
IQNA - Marufuku ya hivi karibuni ya matangazo ya kibiashara kwenye Idhaa ya Qur'ani ya Misri imepokelewa kwa wingi na wataalamu na wanaharakati wa mtandaoni.
2025 Jan 06 , 20:24
Tarjuma ya Kiamazigh ya Qur’ani yapongezwa nchini Morocco
IQNA - Wanaharakati wa Kiamazigh wamekaribisha mpango wa Wizara ya Wakfu na Masuala ya Kiislamu ya Morocco wa kutayarisha tarjuma ya Qur’ani Tukufu kwa lugha ya Kiamazigh. Jitihada za kukuza lugha ya Kiamazigh katika Wizara ya Wakfu na Masuala ya Kiislamu ni hatua muhimu na ya maana kuelekea kuamsha utambulisho rasmi wa Kiamazigh, alisema Abdullah Bu Shatart, mwanaharakati.
2025 Jan 06 , 19:51
Waziri wa Wakfu Algeria Abainisha Mafanikio Katika Kufundisha Qur’ani
IQNA - Waziri wa Masuala ya Dini na Wakfu wa Algeria amesisitiza mafanikio ya nchi hiyo katika sekta ya elimu ya Qur’ani.
2025 Jan 05 , 22:55
Al-Azhar Kuandaa Shindano la Kuhifadhi Qur’ani kwa Wanafunzi
IQNA - Chuo Kikuu cha Al-Azhar cha Misri kimetangaza shindano la kuhifadhi Qur’ani miongoni mwa wanafunzi wake katika vitivo vya chuo hicho jijini Cairo na maeneo mengine ya nchi hiyo.
2025 Jan 05 , 22:37
Mashindano ya 21 ya Kimataifa ya Usomaji wa Qur'ani Tukufu kufanyika Tanzania
Mashindano ya 21 ya Kimataifa ya Usomaji wa Qur'ani Tukufu yatafanyika Machi mwaka huu katika jiji la Dar es Salaam, Tanzania.
2025 Jan 03 , 11:43
Tarjuma mpya ya Qur'ani kwa lugha ya Kialbania yazinduliwa Kosovo
IQNA – Baraza la Wataalamu wa Kiislamu la Kosovo limezindua toleo jipya la tarjuma ya Qur'ani Tukufu kwa lugha ya Kialbania.
2025 Jan 02 , 14:50
Msikiti Mkuu wa Makka wazindua vikao vya kusoma na kuhifadhi Qur'ani msimu wa baridi
IQNA – Mamlaka ya Jumla kwa Huduma za Masuala ya Msikiti Mkuu wa Makka (Masjid Al Haram) na Msikiti wa Mtume (Al-Masjid an-Nabawi) jijini Madina imetangaza uzinduzi vikao maalumu vya  msimu wa baridi vya  kusoma na kuhifadhi Qur'ani katika Msikiti Mkuu wa Makka..
2025 Jan 01 , 21:43
Idhaa  ya Qur’ani ya Misri kusitisha matangazo ya biashara
IQNA – Matangazo ya biashara hayatatangazwa tena kwenye kituo cha Idhaa au Radio ya Qur'ani ya Misri kuanzia Januari 1, 2025.
2024 Dec 30 , 23:19
Kitabu Kisichokuwa na Shaka
Ifahamu Qur'ani Tukufu /13
TEHRAN (IQNA) – Mwenyezi Mungu, katika Aya ya 2 ya Surah Al-Baqarah, anaitaja Qur'ani Tukufu kuwa ni kitabu kisicho na shaka ndani yake. Je, kuna uhakika gani juu ya Qur'ani Tukufu ambayo aya hii inaizungumzia?
2023 Jul 08 , 18:49
Maktaba ya Msikiti Mtakatifu wa Makka yaonyesha Misahafu ya kipekee
MAKKA (IQNA) - Maktaba ya Msikiti Mkuu wa Makka nchini Saudi Arabia inaonyesha Misahafu (Nakala za Qur'ani) ya kipekee ya kale na pia michoro ambayo ina aya za Qur'ani Tukufu.
2023 Jul 08 , 14:52