Alizaliwa mwaka wa 1985, na ameshiriki katika mahafali na vikao vingi vya kusoma Qur'ani Tukufu kitaifa na kimataifa ikiwa ni pamoja na sherehe ya ufunguzi wa Mkutano wa Wakuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu huko Sharm el-Sheikh.
Klipu ifuatayo ina usomaji wake wa Aya ya 23 ya Surah Yusuf:
"Na yule bibi wa nyumba aliyo kuwamo Yusuf alimtamani kinyume cha nafsi yake, na akafunga milango. Akamwambia: Njoo! Yusuf akasema: Audhubillahi! Najikinga na Mwenyezi Mungu. Huyu bwana wangu kaniweka maskani nzuri, na hakika wenye kudhulumu hawatengenekewi."
3484679