Tovuti ya Dar al-Hilal imeripoti kuwa klipu hiyo iliyotumwa katika mitandao ya kijamii na kijana huyu, inamuonyesha akimfundisha mke wake aliyesilimu Qur'ani Tukufu.
Katika klipu hiyo, kijana huyu wa Kiafrika amesimama karibu na mkewe, ambaye inaonekana ni Mzungu akiwa amevaa hijabu, ambapo anasoma Sura Nasr ya na mkewe pia anajaribu kurudia licha ya ugumu wa kuitamka.