iqna

IQNA

wananchi
Iran ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Baada ya kuswali Sala ya Ijumaa, wananchi kote katikaa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wamejitokeza mitaani na kulaani hatua za hivi karibuni za nchi za Magharibi na Ulaya zikiongozwa na Marekani za kudhalilisha matukufu ya Kiislamu na kuliwekea vikwazo Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC).
Habari ID: 3476471    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/27

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa wanachi wa Iran wataonyesha fahari na heshima ya taifa kwa kushiriki kwa wingi katika uchaguzi wa rais utakaofanyika Ijumaa ijayo.
Habari ID: 3474012    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/17

Rais Hassan Rouhani
TEHRAN (IQNA)- Fikra za Imam Khomeini-Mwenyezi Mungu Amrehemu- kuhusiana na harakati na Mapindizi ya Kiislamu ziliegemea kwa wananchi , amesema Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Habari ID: 3473971    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/02

Abdul-Malik al-Houthi
Kiongozi wa harakati ya Ansarullah nchini Yemen Abdul-Malik al-Houthi amesema adui wa wananchi wa Yemen mwishowe atashindwa tu. Aidha ameongeza kuwa utawala haramu wa Israel unafaidika na hujuma ya Saudia dhidi ya watu wa Yemen.
Habari ID: 3338217    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/03