iqna

IQNA

kickboxing
Uislamu unaenea
TEHRAN (IQNA) – Mchezaji aliyestaafi wa masumbwi aina ya kickboxing Andrew Tate amethibitisha kuwa yeye ni Muislamu baada ya klipu yake akisali katika msikiti mmoja Dubai akiwa na rafiki kuenea kwenye mitandao ya kijamii.
Habari ID: 3476012    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/31