iqna

IQNA

shiraz
Hujuma ya kigaidi
TEHRAN (IQNA)- Rais wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu itatoa jibu kali na la kujutisha kwa wale waliohusika katika shambulio la kigaidi dhidi ya Haram Tukufu ya Shah Cheragh mjini Shiraz, kusini magharibi mwa nchi.
Habari ID: 3475993    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/27

SHIRAZ (IQNA)- Tarehe 15 Ordibehesht mwaka wa Hijria Shamsiya sawa na 5 Mei huadhimishwa kama Siku ya Kitaifa ya Mji wa Shiraz. Huu ni mji ulio kusini maghairbi mwa Iran na una maeneo mengi ya kihistoria, kiutamaduni na kimaumbile na hivyo ni kati ya maeneo yenye mandhari ya kuvutia nchini Iran hasa katika simu wa machipuo.
Habari ID: 3475211    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/06

TEHRAN (IQNA) – Raia wa Ujerumani ambaye hivi karibuni alisilimu, alifanya sherehe yake ya harusu katika Siku Kuu ya Idd Ghadir katika Msikiti wa Nasir-ul-Mulk.
Habari ID: 3473055    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/11

TEHRAN (IQNA)-Kikao cha Qur'ani Tukufu na vijana Waislamu duniani kinafanyika katika mji wa Shiraz kusini mwa Iran.
Habari ID: 3471239    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/31

IQNA-Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC imeutangaza mji wa Shiraz kusini mwa Iran kuwa mji mkuu wa vijana katika Ulimwengu wa Kiislamu mwaka 2017.
Habari ID: 3470769    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/31