IQNA

Wayemen waandamana kulaani uchomaji wa nakala ya Qur’ani Marekani na ukatili wa Israeli Gaza

Wayemen waandamana kulaani uchomaji wa nakala ya Qur’ani Marekani na ukatili wa Israeli Gaza

IQNA – Watu kutoka maeneo mbalimbali ya Yemen walifanya maandamano makubwa siku ya Ijumaa kulaani uhalifu wa Israeli dhidi ya Wapalestina na kitendo cha hivi karibuni cha kuchomwa motot nakala ya Qur’an Tukufu nchini Marekani.
17:25 , 2025 Aug 30
Ujumbe wa Iran watembelea Malaysia kuimarisha uhusiano wa kidini, kielimu na kitamaduni

Ujumbe wa Iran watembelea Malaysia kuimarisha uhusiano wa kidini, kielimu na kitamaduni

IQNA-Ujumbe wa viongozi wa kidini kutoka Iran, wakiongozwa na Ayatullah Alireza Arafi na Ayatullah Ahmad Mobaleghi, umefanya ziara ya siku tatu nchini Malaysia kwa lengo la kuimarisha mahusiano ya muda mrefu ya kielimu na kidini kati ya mataifa hayo mawili.
17:11 , 2025 Aug 30
Misikiti 1,600 ya Tatarstan yaandaa sherehe za Maulid ya Mtume Muhammad (SAW)

Misikiti 1,600 ya Tatarstan yaandaa sherehe za Maulid ya Mtume Muhammad (SAW)

IQNA – Idara ya Masuala ya Kidini ya Waislamu katika Jamhuri ya Tatarstan katika Shirikisho la Urusi (Russia) imetangaza kuandaliwa kwa mfululizo wa sherehe adhimu na shughuli za kidini na kitamaduni kwa ajili ya kuadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Bwana Mtume Muhammad (SAW).
17:06 , 2025 Aug 30
Polisi  huko Mississauga, Kanada wachunguza kitendo cha hujuma dhidi ya Msikiti

Polisi huko Mississauga, Kanada wachunguza kitendo cha hujuma dhidi ya Msikiti

IQNA – Uchunguzi unaendelea mjini Mississauga, Kanada baada ya mtu mmoja kuharibu msikiti mapema mwezi huu, huku polisi wakisema ni mapema mno kusema iwapo tukio hilo lilichochewa na chuki.
17:00 , 2025 Aug 30
Wairani milioni tano wanasubiri zamu kwa ajili ya safari ya Umrah

Wairani milioni tano wanasubiri zamu kwa ajili ya safari ya Umrah

IQNA – Zaidi ya Wairani milioni tano wanasubiri kwa hamu nafasi yao ya kwenda kufanya ibada ya Umrah, afisa mmoja amesema.
16:48 , 2025 Aug 30
Kituo cha Qur'ani Iran chalaani kitendo cha kuvunjiwa heshima Qur'ani nchini Marekani

Kituo cha Qur'ani Iran chalaani kitendo cha kuvunjiwa heshima Qur'ani nchini Marekani

IQNA – Hujjatul-Islam Ali Taghizadeh, mkuu wa Taasisi ya Dar-ul-Quran ya Iran, amelaani vikali kitendo cha kuchoma nakala ya Qur'ani Tukufu kilichofanywa na mgombea wa bunge la Marekani, Valentina Gomez, akikitaja kama “uhalifu wa kuchukiza” unaofichua sura halisi ya chuki dhidi ya Uislamu.
11:43 , 2025 Aug 29
Makumbusho ya Kiislamu ya Al-Aqsa Yahifadhi Nakala Adimu za Qur'an za Karne Nyingi

Makumbusho ya Kiislamu ya Al-Aqsa Yahifadhi Nakala Adimu za Qur'an za Karne Nyingi

IQNA – Makumbusho ya Kiislamu ndani ya Msikiti wa Al-Aqsa yanahifadhi mkusanyiko wa kipekee wa nakala nadra za kihistoria za Qur'an Tukufu, kuanzia enzi za Umawiyah hadi Uthmaniyah.
11:35 , 2025 Aug 29
Agosti 30, Siku ya Kimataifa ya Khitimisha Qur'ani Tukufu

Agosti 30, Siku ya Kimataifa ya Khitimisha Qur'ani Tukufu

IQNA – Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar nchini Misri kimetangaza kuwa Siku ya Pili ya Kimataifa ya Khatm (Kuhitimisha) Qur'ani Tukufu itaadhimishwa siku ya Jumamosi, tarehe 30 Agosti.
11:21 , 2025 Aug 29
Makumbusho ya Maisha ya Mtume Muhammad (SAW) na Ustaarabu wa Kiislamu Yazinduliwa Makkah

Makumbusho ya Maisha ya Mtume Muhammad (SAW) na Ustaarabu wa Kiislamu Yazinduliwa Makkah

IQNA – Maonyesho ya Kimataifa na Makumbusho ya Maisha ya Mtume Muhammad (SAW) pamoja na Ustaarabu wa Kiislamu yamezinduliwa katika Mnara wa Saa, katika mji mtukufu wa Makkah, siku ya Jumanne.
11:14 , 2025 Aug 29
Mkuu wa UN aonya kuhusu jinai za Israel Gaza, ataka zikome mara moja

Mkuu wa UN aonya kuhusu jinai za Israel Gaza, ataka zikome mara moja

IQNA-Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres ametoa onyo kali Alhamisi katika Makao Makuu ya Unmoja wa Mataifa jijini New York akilihimiza Baraza la Usalama na jumuiya ya kimataifa kuchukua hatua za haraka kuwalinda raia wa Gaza wanaokabiliwa na jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel.
11:05 , 2025 Aug 29
Morocco yaandaa Mashindano ya 19 ya Kimataifa ya Qur’ani ya Mohammed VI

Morocco yaandaa Mashindano ya 19 ya Kimataifa ya Qur’ani ya Mohammed VI

QNA – Toleo la 19 la Tuzo ya Kimataifa ya Mohammed VI ya Kuhifadhi, Kusoma, Tajweed, na Tafsiri ya Qur'ani lilifunguliwa Jumanne, Agosti 26, mjini Rabat, Morocco.
17:26 , 2025 Aug 28
Msomi: Mtume Muhammad (SAW) alihimiza kuhusu kutunza mazingira

Msomi: Mtume Muhammad (SAW) alihimiza kuhusu kutunza mazingira

IQNA – Mwanafunzi kutoka Chuo Kikuu cha Imam Sadiq (AS) nchini Iran ameelezea Sira na mafundisho ya Mtume Muhammad (S.A.W.) kuhusu ulinzi wa mazingira, ikiwemo yale yanayohusu kutotumia maji ovyo.
17:20 , 2025 Aug 28
Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani kwa Wanafunzi Waislamu yanalenga kujenga uhusiano wa Kimataifa zaidi ya ushindani

Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani kwa Wanafunzi Waislamu yanalenga kujenga uhusiano wa Kimataifa zaidi ya ushindani

IQNA – Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani kwa Wanafunzi Waislamu yanajitahidi kuimarisha uhusiano kati ya washiriki duniani kote badala ya kuwa mashindano ya muda mfupi pekee, amebaini mtaalamu.
17:06 , 2025 Aug 28
Al-Azhar yalaani kitendo cha mwanasiasa Marekani kuteketeza nakala ya Qur'ani

Al-Azhar yalaani kitendo cha mwanasiasa Marekani kuteketeza nakala ya Qur'ani

IQNA – Kituo cha Al-Azhar cha Kupambana na Misimamo Mikali kimekemea vikali kitendo cha hivi karibuni cha kuchoma nakala ya Qur'ani kilichofanywa na mwanasiasa mmoja wa Marekani.
16:57 , 2025 Aug 28
Mawkib za Kiarani zilihudumiwa watu Milioni 22 katika Arbaeen mwaka huu

Mawkib za Kiarani zilihudumiwa watu Milioni 22 katika Arbaeen mwaka huu

IQNA – Mawkib za Kiirani zilitoa huduma kwa zaidi ya watu milioni 22 wakati wa Arbaeen mwaka huu, kulingana na afisa mmoja.
18:15 , 2025 Aug 27
2