IQNA

Toleo jipya la tarjuma ya Qur'ani kwa lugha ya Kirusi

Toleo jipya la tarjuma ya Qur'ani kwa lugha ya Kirusi

IQNA – Toleo jipya la tarjuma ya Qurani Tukufu kwa lugha ya Kirusi limechapishwa. Haya yalitangazwa na Mufti wa Urusi, Sheikh Nafiullah Ashirov, ambaye alisema kuwa mwanazuoni wa Kiislamu, Sheikh Suleiman Muhammedov ndiye aliyefanya kazi ya tarjuma hiyo. Alibainisha kuwa Muhammedov ameyatumia miaka mingi ya maisha yake katika kuhudumia masuala ya Uislamu, kama ilivyoripoti tovuti ya Muslims Around the World.
13:55 , 2026 Jan 19
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Apongeza Iraq kwa Kuwapokea Wafanyaziara wa Arbaeen

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Apongeza Iraq kwa Kuwapokea Wafanyaziara wa Arbaeen

IQNA – Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, ameisifu Iraq kwa kuwapokea mahujaji wa Kiirani wanaosafiri kuelekea nchi hiyo ya Kiarabu.
13:50 , 2026 Jan 19
Sisistizo kuhusu kuandaa mipango ya Qur'ani kwa ajili ya mwezi wa Ramadhani

Sisistizo kuhusu kuandaa mipango ya Qur'ani kwa ajili ya mwezi wa Ramadhani

IQNA – Ghasia za hivi karibuni pamoja na matukio ya kigaidi zimeifanya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuahirishwa, mtaalamu mkongwe wa masuala ya Qurani amebainisha.
13:44 , 2026 Jan 19
Mikutano ya Wanaompenda Mtume wa Mwisho wa Mwenyezi Mungu

Mikutano ya Wanaompenda Mtume wa Mwisho wa Mwenyezi Mungu

IQNA –Tarehe 27 ya mwezi wa Rajab katika kalenda ya Hijria Qamaria (17 Januari 2026), ilikuwa siku tukufu ya Maba’ath, siku ambayo Muhammad (SAW) aliteuliwa na Mwenyezi Mungu kuwa Mtume Wake wa mwisho.
14:11 , 2026 Jan 18
Kituo cha Kiislamu cha Birmingham chashambuliwa

Kituo cha Kiislamu cha Birmingham chashambuliwa

IQNA – Kundi la waharibifu limevamia Kituo cha Kiislamu cha Imam Ridha (AS) mjini Birmingham, Uingereza, katika tukio lililoibua maswali kuhusu kuongezeka kwa chuki dhidi ya Uislamu na Iran katika nchi za Magharibi.
13:44 , 2026 Jan 18
Maonyesho ya “Shahidi wa Qur’ani” yafanyika Yemen

Maonyesho ya “Shahidi wa Qur’ani” yafanyika Yemen

IQNA – Maonyesho yenye kichwa “Shahidi wa Qur’ani” yameandaliwa katika mkoa wa al-Hudaydah, Yemen, yakitoa heshima kwa Sayyid Hussein Badreddin al-Houthi, ambaye nchini humo anajulikana kama shahidi wa Qur’ani.
13:10 , 2026 Jan 18
Wanazuoni wa Kishia na Kisunni  wapongezwa kwa kuunga mkono Uongozi wa Kiislamu Iran

Wanazuoni wa Kishia na Kisunni  wapongezwa kwa kuunga mkono Uongozi wa Kiislamu Iran

IQNA – Jukwaa la Umoja na Kukurubisha Madhehebu ya Kiislamu Duniani, (WFPIST) limepongeza msimamo wa kuunga mkono uliotolewa na wanazuoni na wasomi wa Kishia na Kisunni kwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kufuatia machafuko ya hivi karibuni.
10:33 , 2026 Jan 18
Kiongozi Muadhamu: Taifa la Iran limevunja mgongo wa fitina kwa umoja

Kiongozi Muadhamu: Taifa la Iran limevunja mgongo wa fitina kwa umoja

IQNA-Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, amesema Iran inamtambua Rais wa Marekani, Donald Trump, kama mhusika mkuu wa mauaji na uharibifu katika ghasia za hivi karibuni hapa nchini.
10:11 , 2026 Jan 18
Iran yalaani kundi la G7 kwa kuunga mkono magaidi  walioibua fujo nchini

Iran yalaani kundi la G7 kwa kuunga mkono magaidi walioibua fujo nchini

Wizara ya Mambo ya Nje imelaani vikali tamko la hivi karibuni la kuingilia mambo ya ndani ya Iran lililotolewa na Kundi la Nchi Saba (G7), ikilishutumu kundi hilo la kiserikali linaloongozwa na Marekani kwa kuingilia masuala ya Iran na kwa mtazamo wa kinafiki kuhusu haki za binadamu.
11:08 , 2026 Jan 17
Wanazuoni wa ulimwengu wa Kiislamu watoa tamko dhidi ya Trump huku wakimuunga mkono Imam Khamenei

Wanazuoni wa ulimwengu wa Kiislamu watoa tamko dhidi ya Trump huku wakimuunga mkono Imam Khamenei

IQNA-Wanazuoni na wasomi wa Ulimwengu wa Kiislamu, katika taarifa yao, wameonyesha kuunga mkono Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Imam Khamenei, kufuatia machafuko ya hivi karibuni nchini, huku wakitoa tamko linalomtaja rais Trump wa Marekani kama mtu “muhrib”
10:52 , 2026 Jan 17
Tukio adhimu la kubaathiwa Mtume Muhammad SAW

Tukio adhimu la kubaathiwa Mtume Muhammad SAW

IQNA-Jumamosi tarehe 27 Rajab 1447 Hijria sawa na Januari 17 mwaka 2026 Miladia inasadifiana na siku ya Kubaathiwa Mtume Muhammad SAW. Hii ni siku muhimu na ya kipekee katika Uislamu.
07:54 , 2026 Jan 17
Rais Pezeshkian asema Marekani na Israel zimehusika moja kwa moja katika machafuko Iran

Rais Pezeshkian asema Marekani na Israel zimehusika moja kwa moja katika machafuko Iran

IQNA-Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kuhusika moja kwa moja Marekani, utawala wa Kizayuni na baadhi ya nchi za Ulaya katika matukio ya hivi karibuni ya Iran hakukanushiki.
07:46 , 2026 Jan 17
Kiongozi wa Ansarullah apongeza taifa la Iran kwa kuvuruga ya Israel na Marekani

Kiongozi wa Ansarullah apongeza taifa la Iran kwa kuvuruga ya Israel na Marekani

IQNA-Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah nchini Yemen amewapongeza wananchi wa Iran kwa namna walivyokabiliana na njama zilizopangwa na Marekani pamoja na Israel.
07:42 , 2026 Jan 17
Israel kuweka vizuizi kwa waumini Waislamu kufikia Msikiti wa Al-Aqsa Mwezi wa Ramadhani

Israel kuweka vizuizi kwa waumini Waislamu kufikia Msikiti wa Al-Aqsa Mwezi wa Ramadhani

IQNA – Utawala ghasibu wa Israel umetangaza mipango ya kuweka vizuizi kwa waumini Waislamu wanaotaka kufika Msikiti wa Al-Aqsa katika mji mtakatifu wa al-Quds (Jerusalem0, wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
15:29 , 2026 Jan 15
Msikiti wa Imam Mahdi, Katika Mji wa Sihat, Saudi Arabia

Msikiti wa Imam Mahdi, Katika Mji wa Sihat, Saudi Arabia

IQNA-Msikiti wa Imam Mahdi (AS) uliopo Sihat, katika Mkoa wa Mashariki wa Saudi Arabia, ulijengwa takribani miaka 132 iliyopita, na hivyo kuwa miongoni mwa nyumba kongwe za ibada katika eneo hilo.
15:07 , 2026 Jan 15
4